Monday, July 2, 2012

NAIJA TOOK IT AGAIN: CAMP MULLA WAFUNIKWA NA WIZKID 2012 BET AWARDS



alt
It seems Nigeria beat us again. East African hip hip group Camp Mulla kutoka Kenya walikuwa wakishindana na Sarkodie (Ghana), Wizkid (Nigeria), Ice Prince (Nigeria), Lira (South Africa) na Makobe wa Mali.

Walikuwa nominated kwenye kipengele cha "Best International Act: Africa, Camp Mulla ambao walishindwa kuhudhuria tuzo hizo baada ya kutokea matatizo kwenye upataji wa Viza za kuingia Marekani walikuwa na matumaini ya ku-scoop the award ambayo ingwaweka kwenye matawi ya juu zaidi. However, the 2012 BET Awards announced the Nigeria;s Wizkid  na rapper wa Ghana Sarkodie ndio washindi wa tuzo hiyo. Sherehe za utoaji wa tuzo hizo took palece at the Shrine Auditorium in Los Angeles, California usiku wa kuamkia leo.

Last year D'Banj na 2Face Idiba kwa pamoja walishinda award hiyo kwenye category ya Best International Act - Africa.

No comments:

Post a Comment