Monday, July 2, 2012

BEYONCE, THE THRONE AND CHRIS BROWN WAFUNIKA 2012 BET AWARDS





Beyoncé
It was a big night for Beyoncé, Jay-Z, Kanye West, and Chris Brown. Kila mmoja wao kati ya stars hao alienda nyumbani na awards mbili katika usiku wa tuzo za BET 2012. Beyoncé picked up Best Female R&B Artist, dedicating her award kwa Whitney Houston, na tuzo ya Video Director of the Year for “Party,” ambayo ameshea na shemeji yake Alan Ferguson ambaye ni boyfriend wa mdogo wake Solange.
Jay-Z and Kanye aka The Throne walishinda Best Group na Video of the Year for “Otis.” Jay alikuwa akishindana na mkewe kwenye category, making for some friendly competition. “Kutatokea mabishano nyumbani leo," alitania Jamie Foxx ambaye ndiye aliyeenda kutoa tuzo hiyo.
Baada ya kufanya performance kali, Chris Brown sakachukua Best Male R&B Artist and the AOL Fandemonium Award, dedicating his awards to Team Breezy.
Wajue washindi wote wa BET Awards 2012

No comments:

Post a Comment