Friday, July 13, 2012

K'NAAN APINGA BIASHARA YA SILAHA HARAMU
alt
Hakika rapper K'Naan  anazifanya Kenya na Somalia kujisikia fahari kutokana na mziki wake na chochote kile anachokifanya popote pale kwa kutumia jina zuri la bara lake zuri la Afrika.Pamoja na mafanikio makubwa aliyonayo pia K'Naan si mtu wa kusahau alikotoka.
Akiwa ametokea kwenye nchi ya machafuko (Somali), K'Naan anaelewa madhara ya wahuni wanaomikili silaha mitaani bila kibali maalum.
Ndio maana ameamua kufanya kitu kuhusiana na hilo ambacho kitasaidia kuonesha umuhimu wa jeshi.
Kwa kuzingatia hili, K'Naan amefanya documentary ya 'Twin Bullets' ambayo inaonesha hasara pamoja na takwimu za kuuza silaha kiholela.
Check it out here.....

No comments:

Post a Comment