Friday, July 13, 2012

NAOMI CAMPBELL KUJA NA THE FACE KUSAKA WAREMBO AFRIKA
alt
Habari njema kwa warembo wa Tezee na Afrika kwa jumla ambao wangependa kuvuka borders kwenye masuala ya fashion.

Mwanamitindo mkongwe na maarufu duniani kwa jina la Naomi Campbell kwa kushirikiana na kampuni za Oxygen Media na Shine America wanaanzisha shindano liitwalo "The Face" ambalo litawaruhusu hata warembo wa Africa kushiriki.

Shindano hili litakalorushwa kwenye TV, warembo watakuwa wakipewa changamoto nakufundishwa mambo mbalimbali ya urembo na supermodels waliofanikiwa zaidi duniani.

Mshindi wa shindano hili atakuwa kisura wa brand kubwa

No comments:

Post a Comment