Friday, July 13, 2012

SWIFT, BIEBER MIONGONI MWA CELEBS CHINI YA MIAKA 30 WENYE MKWANJA MREFU
alt
According to the list iliyotolewa na Forbes.com,  Taylor Swift, dogo mwenye umri wa miaka 22 ndiye  anaei-top list hiyo with a cool $ 57 million, akimshinda Justin Bieber mwenye kiasi cha $55 million. Bieber mwenye miaka 18, ndiye singer mdogo kwenye list hiyo ya wanaokamata mkwanja mrefu duniani.
Mother kijacho mtarajiwa Adele anashika nafasi ya sita akifuatiwa na Kristen Stewart ambaye last year alikuwa the highest paid actress akiwa amecheza moviez kama  "The Twilight Saga", "Panic Room", "In the Land of Women", "The Messengers" na nyingine nyingi  anafuatiwa na Lil Wayne ambaye kwenye list hii ndiye celeb mkubwa akiwa na age ya miaka 29.
Prattison ambaye ni boyfriend wa Kristen amekamata nafasi ya kumi.
Vigezo vilivyotumika kuitengeneza  list hii ni pamoja na mauzo ya albums, concerts, mkwanja kutokanana movies celeb alizocheza, advertisements pamoja na endorsements toka May 2011 and May 2012. Pia Managers, lawyers, agents na wahusika wa ndani pia walihusishwa.
Soma list yenyewe hapa :-
  1. Taylor Swift, $57 million
   2. Justin Bieber, $55 million
   3. Rihanna, $53 million
   4. Lady Gaga, $52 million
   5. Katy Perry, $45 million
   6. Adele, $35 million
   7. Kristen Stewart, $34.5 million
   8. Lil Wayne, $27 million
   9. Taylor Lautner, $26.5 million
  10. Robert Pattinson, $26.5 million

No comments:

Post a Comment