Tuesday, July 10, 2012

Mercedes Benz E200

Member wa Tip Top Connection ambaye pia ni singer wa “Nipe Ripoti”na “Starehe Gharama” feat. Ali Kiba  is now pushing a new ride in town.
Kama ulikuwa hujui Tundaman ambaye kwa sasa ana hit na wimbo wake wa Kaukwaa kwa sasa anaendesha gari aina ya Mercedes Benz E200 yenye anti Glare Mirrors ,Tilted Steering ambayo anasema roughly imemgharimu U$D 25000.
Ndinga hiyo pia  ina five leathered seat na 8 airbags  to ensure maximum safety.
Mkoko huu wa Tunda ambao ni automatic una climate control air condition na pia una uwezo wa kutembea speed 250kph.
“Najisikia fahari sana kujiweka kwenye ndinga kama hii imeniongezea heshima kwenye jamii."
According to Tunda soon his Mercedes  ambayo pia ina power steering power windos fully loaded version, elegance will be pimped with spots tyres zenye rims za silver bila kusahau sound ya hatari.

No comments:

Post a Comment