Tuesday, July 10, 2012

BAADA YA ROSE MHANDO, MKENYA XTATIC NAE AULA SONY

alt




Baada ya Sony Music Entertainment Africa /RockStar 4000 kum-sign Gospel Queen from TZ kwa jina la Rose Mhando, bila kumsahau young Nigerian Star kwa jina la Kamsee, infoz toka area coded 254 ni kuwa Xtatic ambaye ni African rapper tayari ame-ink deal with Global major record company,Sony Music Entertainment to multi-album and full management deal.
 The deal marks a first for a Kenyan artist and sees hotshot rapper, songwritter and performer. Xtatic ambaye jina lake halisi ni Gloria Edna Mecheo ataungana na list ya wasanii wakubwa duniani  wanaosimamiwa kazi zao za kisanii na Sony's RCA label  miongoni mwao ni kama  Usher, Chris Brown, R Kelly and Pink.
Xtatic, 21, recently was in  Johannesburg, alikokuwa aki-record tracks kwa ajili ya debut-full - length album yake itakayoitwa  ‘The Fahrenheitz’. ambayo itazinduliwa baadaye  mwaka huu huu. Xtatic ambaye amesign contact na Sony ata-release her first single "WILD" wiki mbili zijazo.
Xtatic pia ame-sign full services management deal with Sony Music and ROCKSTAR4000, and worldwide Music Publishing deal with ROCKSTAR PUBLISHING, itakayomuwezesha kuli-conquer soko la music huko South African, Nigerian, Kenyan, Pan African and, ultimately, global music scenes.
“Tunafurahi kumtangaza Xtatic as our new signing, ni atist mwenye kipaji ambacho kwa kushirikiana na sisi ataweza kufika mbali tunamkaribisha sana kwenye familia Sony", says RCA Africa Director, Spiro Damaskinos.
Kabla ya kudondoka wino wa kuwa chini ya management ya Sony/RockSatar 4000, Xtatic was a word-of-mouth artist, kutokana na kutoa online and television sensation song ya “The Prep Track”, ambayo mwisho wa siku iliwashawishi Sony kumpa contact.
“Nilipigiwa simu kwa mara ya kwanza toka ROCKSTAR4000 siku ya birthday yangu, nilikuwa nyumbani and mawazo yangu yalinipelekea moja kwa moja kuamini kuwa someone was  prank calling me,” she confides.

No comments:

Post a Comment