
wasanii wa kundi la Wanaume TMK wakiongozwa na Chege na Temba wakilishambulia jukwaa vilivyo,ama kwa hakika ilikuwa ni shangwe tu kwenye makamuzi ya shoo ya Usiku wa Mtu mzima dawa.

Wasanii Chege na Ydash wote kutoka Wanaume TMK wakiwarusha wakazi wa Mwanza ni kibao chao cha Dar mpaka Moro.
Wanaumeeee...eeeeeh..! Wanauuumeeeee.....halafu mashabiki wanaitikia kwa nguvu kabisa eeeehhhh..!
"Sijui nimtawanyee.....aah huwezi wewe mtu mzima dawa."! Mh Temba akikamua vilivyo na Bibi Cheka jukwaai saafi kabisa huku shangwe zikiwa zinasikika kila kona,kwani Bibi Cheka alionesha uwezo wake mkubwa wa kukamua jukwaa,hata ile mitindo huru nini na niniii yuko swafi mbaya
No comments:
Post a Comment