Gates anawaomba, kuongeza likes kutoka facebook fan page kutoka 6,666 nambari iambayo ina aminika kwamba ni ya chama cha dini ya Illuminati mpaka 7,777 nambari ya watu wanao amini Mungu. Juhudi zatu ya umbea zinatuarifu kwamba Gates aliskika akisema anawaomba wasikilizaji wakituo kimoja cha radio jijini Mombasa, wachangie kufikisha nambari 7,777.
" 6,666 LIKES haya - PLSE FIKISHA 7,777 i dont want to be in Illuminati ! "-Please help Gates get 7,777 like by clicking the Like button on his Facebook Page and follow on Twitter .

No comments:
Post a Comment