Saturday, July 7, 2012

LIFE HISTORY OF SUSUMILA




Yussuf Said Kombo aka SUSUMILA.  
"I started musik in 1999 nikaanza kupata hela 2007 can u imajin wat i went through nilitaka kuacha so many tymz but i couldnt coz it was all i had,nilishawahi hata kuchimba misingi hallerpark kibarua mpaka kupanda nyasi,so its part of life kupitia struggles,tulichanga na esco 5k tuende calif kurecord kulikua natym walikua wakipeana offer half price mwaka imajin it took us mwaka mzima kufikisha 5k,b patient stay focused. 





mimi nilikua kama mtu wa kutumwatumwa greenhouse kwa mwaka na miezi watu wanafanya recording zao wakimaliza mimi naingia kwa machine polepole mpaka nikajua mambo mengi sana,mimi nilikua nikifungua studio na nikifunga jioni nilikua nikifagia studio nikichukua watu vocalz namimi ni msanii sometymz kujifanya mjinga husaidia.
AKIZUNGUMUZIA KIDIS



Kila nikimskiza kidis kwa radio hua naskia uchungu sana iweje mtu anakipaji na sauti ya aina yake alafu bado watu hahit vile inavyostahili muulize kidis atakuambia mi niliskia ngoma zake greenhouse wakati huo sijamuona hata sura yake nikaomba namba yake nikamuita akanipa mziki wake nikaupeana kwa radio karibu zote na nikaongea na presenters they started playin his music,am proud him na hua nampa moyo kila wakati kwa sababu najua ile stress anapitia saa hii but naamini atakuja sahau yale anapitia saa hii bora asife moyoni

No comments:

Post a Comment