Nesphory Kidis Simbiga aka KIDIS...........Anapanga Ku releasing New Hit In The Street...Nyimbo Inaitwa NYONDA.....Hii Nyimbo Inazungumuzia Vile Madem Wanazingua Watu.Si Unajua Madem Wa Siku Hizi Balaaaa..Hii Nyimbo Kidis Ame-Record Katika Studio Ya TEE HITS Chini Ya Producer TEE... Kwa Maoni Yako, Me Ngoma Nilisikia Na Ni A Big Tune... Fanya Hivi Kaa Mkao Wa Kusosi Itadondoka Hapa Mara Ya Kwanza Kidis Aki Release...
Halaaaaaaa Baby
No comments:
Post a Comment