Wednesday, July 11, 2012

DAAAAAH

MWANAMKE MMOJA NCHINI GHANA ACHOMA NYETI ZA MTOTO WA KIUME WA MUMEWE, BAADA YA MTOTO HUYO KUKOJOA KITANDANI

MWANAMKE mmoja katika kijiji cha Abuakwa karibu na mji wa Kumasi, Ghana amefanya kitu cha kufikirika baada ya kuzikata nyeti za mtoto wa kiume ambaye alikuwa wa kambo mwenye umri wa miaka sita na hatimaye kuzichoma kwenye moto.

No comments:

Post a Comment