Wednesday, July 11, 2012

Rihanna akiwa na X boyfriend wake nyumbani kwao according to Global Grind.
Tangu Mwimbaji Star Rihanna alipoingia kwenye muziki 2006 Maisha yake ya kimapenzi yamekua gumzo kwenye media na kwa mashabiki wa muziki wake ambapo mwimbaji huyo amemua kuweka wazi ishu za mapenzi zinazoendelea kwenye maisha yake ya sasa.
Rihanna mwenye umri wa miaka 24 amesema amekua mkali kwenye maisha yake ya mapenzi sasa hivi na ni kama mapenzi hayapo kwake, yani kama akikutana na mtu ambae yuko poa ataenjoy nae lakini dakika atakayogundua kwamba wanakaribia kuingia kwenye mapenzi, au kutakwa.. atajiondoa mara moja kwa sababu sasa hivi hapendi kuruhusu watu waingie moyoni mwake kimapenzi tena kwa sababu anaogopa kuumizwa.
According to Global grind, Riri amesema wakati alipofall inlove, liumizwa sana na ni kwa sababu alikua amependa kweli, alipoumizwa alijihisi hana thamani na maisha yake yalibadilika, kila alichofaham kilibadilika, hakuwahi kudhani kama angeweza kuumizwa kiasi kile na asingependa yaliyomkuta yatokee tena.
Haya maneno ya Rihanna yameonekana kuuzungumzia uhusiano wake na mwimbaji Star Chris Brown ambapo RiRi anaonekana pia kutopenda tena baada ya uhusiano wao kuvunjika kwa ugomvi mkubwa.
Enzi hizo Rihanna akiwa kwenye mapenzi na Chris Brown, ilikua x mass kwa kina Brown.
Baada ya kuachana Chris nakumbuka hii picha ilitoka wakati Rihanna Ufaransa kula bata na rafiki zake, wakati huo pia kama kichwa chake hakikua vizuri kwenye mapenzi so muda mwingi akawa anautumia na rafiki zake wa kike, hapa wako na boti private wanaenjoy.
Hii picha haina wiki mbili toka ipigwe.

No comments:

Post a Comment