JOKE OF THE DAY
Mlevi alikuwa anabatizwa ziwani, mchungaji akamzamisha kwenye maji mara ya kwanza halafu akamtoa na kumuuliza "umeguswa na Yesu?" mlevi akajibu "hapana". Akamzamisha mara ya pili kisha akamtoa na kumuuliza tena "umemuona Yesu?", mlevi akajibu "sijamuona". Akamzamisha mara ya 3 na kumtoa kisha akamuuliza "umempata Yesu?", mlevi akajibu "sijampata wala nini, hivi una uhakika huyo Yesu alizamia hapa au tunazinguana tu?"
No comments:
Post a Comment