VAN VICKER ANATAKA KUFANYA BONGO MOVIE
Bongomovie is not a small kind again, tangu ianze kutambaa, walking and now is flying out of Bongo hadi mastaa wengine wa Africa wanaiulizia na kuonyesha interest ya kuja kufanya kazi Bongo. Story zilizodondoka kwa Cop wa baabkubwa.com ni kwamba superstar wa movie kutoka Ghana anavutiwa sana na Bongomovie kiasi cha kuiulizia sana. The source spoke to baabkubwa.com ni kwamba kipenzi cha warembo wengi kutokana na movie zake ambaye akiwahi kusema kwa siku anaweza kupokea meseji kama mia tatu kutoka kwa wasichana na wanawake kupita facebook.
The man himself Van Vicker alikutana na
mdau wa movie kutoka Ghana ambaye anamahusiano na Bongomovie nakupiga naye mastori kadhaa na Van Vicker. Mdau huyo wa movie aligunguka kama hivi, "Van ananiuliza sana kuhusu Bongomovie, anaisikiaga sana na jinsi tulivyokua tunafanya naye mazungumzo alionyesha interest sana Bongomovie labda inaweza kuwa nafasi kwa wasanii wa Tanzania kufanya naye kazi kadhaa"
No comments:
Post a Comment