Thursday, June 14, 2012

hahahah ya leo kali


  
noma sana utadhani wakenya ndo wanatabia za kusample muziki....basi la skiza wimbo wa mwana fa ft dully sykes toka bongo unaoitwa ameen lal;ala kila kitu sample hadi chorus kama wimbo wa  cecile hey na agent sasco

No comments:

Post a Comment