Tuesday, June 19, 2012

50 CENT says it all ni biz nothing more nothing less

 




50 Cent akipiga stories na Oprah Winfrey alifunguka kuhusu ushindani wao wa kirafiki katika biashara kati yake Jay – Z na P.Diddy.

Wakati 50 Cent anaibuka katika muziki wa Hip Hop alikuwa na beef na wasanii wakubwa katika kiwanda cha muziki akiwemo Ja- Rule, Cam’ron, Fat Joe, The Game, Yong Buck na wengine. Katika mahojiano hayo na Oprah waliongelea beef ya kibiashara na ndo ambacho kinaendelea mpaka sasa kati yake Jay- z na P.Diddy.

Akiendelea kufunguka 50 Cent alisema amegundua Jay- z na P.Diddy wamemsaidia yeye kuwa alipo ingawa hakuna uadui wowote kati yao

No comments:

Post a Comment