Wednesday, May 30, 2012

Is Dazlah Dating A Sugar Mummy?????

Kama Wewe Ni Fan Wa Mombasa Music Industry Hesabu Kwa Umepata Shemeji Mpya..Msaani Wa Kiume Wa Mombasa Flavour Amewekwa Ki Nyumba Ndani Ya Likoni Inasemekana Aliyemweka Kinyumba Ni Sista Duu Fulani Ambaye Ana Saloon Kule Likoni.Jamaa Fulani Ambaye Jina Yake Imehifadhiwa  Kwa Sababu Ya Ki Usalama Amefunguka Kuwa Kwa Zaidi Ya Mwezi Mwili Walikwa Pamoja Hawa  Watu. Washkaji Zake Msaani Huyu Wa Kiume Wamedai Kwamba 'Eti Msaani Huyu Si Mwenzetu Tena' 
Unajua Namzungumuzia Nani Hapo?????  Tune Mashav Mashav University  9am 12pm Na Dj Gates Akifanyiwa Na Phone Interview

No comments:

Post a Comment