Thursday, May 31, 2012

SAV CLAN NDANI YA BONGO

Message From Sav Clan "Hii ni kwa mashabiki wangu wapendwa inayowaibukia kama surprise ambayo moja kwamoja ntajimix jijini Dar es Salaam, Tanzania, kwenye show ya piga uwa ndani ya Club Billicanas makamuzi yakiongozwa na ( Suma Lee) kwenye usiku wa tarehe 3 June siku ya ijumapili pamoja na (Darasa) na (SAV CLAN) ( shirko) pamoja na (Amoury Beyby Sav-Clan) .... Musikose kuja yaani itakuwa Hapatosh!!!"

No comments:

Post a Comment