Wednesday, May 30, 2012

RIHANNA AENDELEA KUPIGA PICHA ZA UTUPU



Mwimbaji nguli Rihanna amerudia wendawazimu wake wa kukaa uchi baada ya kupiga picha za utupu wakati akinadi pafyumu yake mpya.

Mwanamuziki huyo ambaye aliporomosha kibao cha 'We Found Love anaripotiwa kufanya kituko hicho mwishoni mwa wiki,inaelezwa kuwa katika kutangaza bidhaa yake hiyo mpya Rihanna naonekana kutumia mikono yake kujikinga sehemu ya matiti huku sehemu nyingine zikiwa wazi.Rihanna awali alibaki mtupu wakati akirekodi filamu yake kwa ajili ya video yake iitwayo'Where Have You Been'.

"Najisikia vizuri zaidi ninapokuwa mtupu sina hofu juu ya hilo," alisema mwanadada huyo siku za hivi karibuni

No comments:

Post a Comment