.

Nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani, lazima watu wa kwenu watakujali kwenye shida na raha. Elizabeth Michael "Lulu" ambaye alisoma shule ya sekondari "Perfect Vision" hapo zamani katika masomo yake ya O level.Habari iliyotupia na source moja nikwamba wanafunzi wa shule hiyo wameamua kujichangisha wenyewe ili wapate pesa za kumsaidia Lulu kwenye suala akisheria, ambapo hadi kesi yake inaperekwa mbele kila itakapoitwa na gharama zinazidi kuongezeka. Wanafunzi hao wasingependa kumuona....
the sexy jailed girl akitoka na kuwa broke kimkwanja coz anatumia nyingi licha misaada ya kisheria aliyopata.Source ilenda extra miles kwa kutoa statement ya mkuu wa shule hiyo ambayo ilenda kama hivi, "NIkweli wanafunzi wangu kwa ridhaa yao wenyewe wameamua kumchangia mwenzao ambaye alisomaga hapa miaka kadhaa iliyopita
No comments:
Post a Comment