Friday, June 29, 2012

OMMY DIMPOZ NAE KUVUTA MKOKO WA BEI MBAYA



alt
  Mkali wa Bongo fleva Ommy Dimpoz ambaye sasa ameonyesha dhahiri kama anafuta nyao za Diamond baada ya wawili hawa kufuatana kila wanapoenda hadi kufikia kuvaa the same style
 Ommy aliyetoka na ngoma kali kama NaiNai na sasa akisumbua na hit ya Baadae yuko mbioni kuvuta mkoko aina ya Rav 4 new model itakayomgharimu million 30 za kitanzania.
Jembe hilo linalopiga show za kufa mtu mtu alisema, "Najipanga kwani sasa naamini niko sawa na show napiga namshukuru Mungu, so najipanga kuvuta mkoko wangu na mengine yatafata bado mapema kuwacha kila kitu nje." - Ommy Dimpoz

No comments:

Post a Comment