Friday, June 29, 2012

NEW TRACK: Kicheche - Sav clan (Shirko & Amoury beyby)Ft. Aslay & Temba



Tumeiachia rasmi hii track ambayo video yake itatoka wiki ijayo.

Ilifaywa ndani ya Poteza records ikishirikiana na Vibe records Kwa hisani ya Mkubwa na wanawe
wakati kundi zima la SAV CLAN lilipokuwa katika ziara ya kipromo nchini tanzania.
pini lenyewe limesimamishwa na mkono wa producer Shirko ..
sav clan (shirko & amoury) with temba (poteza records temeke tulipokuwa tunafanya track {kicheche} pamoja na aslay

No comments:

Post a Comment