Friday, June 29, 2012

CAMP MULLA KWENYE PARTY MOJA NA AKON & JOHN LEGEND



alt
After being the first East African musician kuchaguliwa kushiriki kwenye tuzo za BET 2012, Kenyan music group Camp Mulla now wameanza kupokea zile tratment za A-list superstars.
 Camp Mulla ambao right now wapo nchini Marekani kwa ajili ya kuhudhuria kwenye siku ya utoaji wa tuzo za BET 2012, wameandaliwa party ya kuwapongeza na taasisi zisizo za kiserikali za GoodMakers Films na Creative Visions Foundation @Zanzibar Lounge - Santa Monica.
The party which will go down today, itahudhuriwa na some big African/american artists kama vile Konvict music CEO - Akon, Grammy winning artist John Legend, Indie Arie, Will.i.am na K'Naan
The ‘Fresh All Day’ hitmakers watakuwa sehemu ya kampeni iitwayo ‘We are one under the sun’, itakayoelekezwa zaidi katika nchi za Afrika Mashariki ambapo maalbino wamekuwa hatarini kuuawa kutokana na imani za kishirikina.
Maelezo yaliyoandikwa na Mkurugenzi mkuu wa GoodMakers Tilo Ponder yalisema, “Camp Mulla wataungana na wasanii wa kimataifa kuimba wimbo maalum uliotengenezwa kukuza uelewa juu ya suala hili.”

No comments:

Post a Comment