Friday, June 29, 2012

MNIGERIA WIZKID ALAMBA DEAL LA MAMILIONI NA PEPSI


 
alt
Looks like mambo yanazidi kumnyookea 21 year-old Nigerian singer Wizkid baada ya kupata endorsement deal na kampuni kubwa ya vinywaji ya duniani Pepsi.

Mnigeria
huyo ambaye ni hot cake kwenye African music industry kwa sasa, few week ago alikuwa Beirut, Lebanon alongside fellow Pepsi brand ambassador singer Tiwa Savage kwa ajili ya kufanya shooting ya tangazo jipya la Pepsi.

Wizkid sasa anaungana big superstars duniani kama
Didier Drogba, Lionel Messi, Jack Wilshare na wengine wengi ambao wamekula maisha kupitia mikataba na kinywaji cha Pepsi.

Inaonekana huu ni mwaka mzuri kwa Wizzy: kwani tayari amekuwa nominated kwenye tuzo za mwaka huu ya
Black Entertainment Televison (BET Awards) kwenye kipengele cha Best African Act - ambazo zitafanyika at the shrine Auditorium, Los Angeles, jumapili wiki hii.

No comments:

Post a Comment