
The ongoing silent feud between Tzee heartthrobs Ally Kiba na Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz inamuweka kwenye wakati mgumu rafiki yao and fellow artist Omari Nyembe alias Ommy Dimpoz ambaye amekuwa asijue awepo upande wa nani?
Ally Kiba and Diamond kwa miezi kadhaa sasa wamekuwa hawapo on speaking terms, baada ya Diamond kufuta vocals za Ally Kiba kwenye wimbo wake wa "Lala Salama" aliomshirikisha, baada ya "2011kupinga wazo la Diamond kuufanyia 'Remix' wimbo wake 'Single Boy'.
So katika siku za hivi karibuni rafiki yao Ommy Dimpoz amekuwa akionekana kuwa na wakati mgumu sana whenever those three are in place.
Two weeks ago wakati Ommy Dimpoz alipokuwa akizindua his brand new song "Baadae" @Bilicanas Club, his two bestfriend Diamond and Kiba came to support him, na kama ilivyo kawaida hawakusalimiana wala kuongea chochote. Wakiwa backstage mafahari hao wawili kila mmoja alikaa kwenye upande wake huku Dimpoz asijue aende akakae on which side, kwa Ally Kiba au Diamond.
No comments:
Post a Comment