
According to AllHipHop News, jamaa kwa jina la Patrick White, mnamo tarehe 13 June mwaka huu ama-file lawsuit dhidi ya rapper the "No Church In The Wild" akidai kuwa sehemu ya kitabu cha maisha ya Jay-Z - Decoded iliibiwa toka kwake.
Kwenya madai hayo ya White ambayo yamefunguliwa at United States District Court, Central District ni kwamba laptop yake iliibiwa mwaka 2009 na baada ya hapo infoz zilizokuwa ndani ya laptop yake hiyo zimeonekana kwenye kitabu hicho cha Jigga.
Mr. White amedai kuwahi kuwasiliana na Jay-Z na pia Decoded co-author aitwaye Dream Hampton, but hasn't heard a word from the music mogul or his co-author.
"Kitabu kina expression tofauti tofauti, rangi na pia phrases zinazo-correlates na kazi zangu.Nimejaribu mara kibao kuwasiliana na hawa jamaa but cha kusikitisha ni kwamba wamekuwa hawanipi ushirikiano".
Mr. White also claims that his work and the work of Jay-Z are "strikingly" similar and claims his work has been "compromised."
Patrick White anamshtaki hubby wa Beyonce kwa kosa la copyright infringment na uvamizi wa mali za umma
No comments:
Post a Comment