
Few monthes baada ya RnB queen ku-pass away kwasababu ya kinachosemekana ni drug addiction. Mume wake waliyeachana naye, time hii ni moja kati ya wanaume wenye furaha sana duniani.
Ishu ni kwamba the crazy man himself "Bobby Brown" star wa old school music, amefunga ndoa na manager wake "Alicia Etheridge" ambaye ni manager wake na amempita miaka 24.
Bobby Brown ambaye anamiaka 43, akiwa pande za Hawii na familia yake yote kasoro mtoto alizaa na Whitney Huston.
Hakuna chanzo kinachosema why mtoto huyo hakuja kwenye party hii. By the way cograts from Baabkubwa to Bobby Brown
No comments:
Post a Comment