DIAMOND: NASHUKURU WEMA SEPETU ENGLISH COURSE
"Namshukuru sana mama yangu mzazi kwa elimu aliyonipatia na nashukuru sana Wema Sepetu English Course" Diamond ameyazungumza haya leo ndani ya xxl baada ya msanii Diamond kupongezwa kwa kujibu vizuri katika interview aliyoifanya (kingereza) baada ya kupiga show Big brother Africa. kusema ukweli amenisaidia sana kufanikisha kwangu kujua kiingereza maana alikua akinielekeza sana tulivyokuwa inlove, nisipo kuwa na shukrani kwa kidogo basi siwezi kuwa na shukrani hata kwa kikubwa" amesema Diamond.
No comments:
Post a Comment