Hi friendz, hop y'all fine out there...know this-
KUNA MTOTO WA KIKE ANATUSHOBOKEA SANA SISI WASANIII, HASWA KWA WALE WALIO NA UPEO KWA SASA, TUMFANYE NINI HUYU MBAYUWAYU?..TUMTENGENEZE NDO IWE FUNZO KWA SHOBO ZAKE AU?..
Help me with thiz, as u r a good friend/fan of me....!!! god bless

Last sat live on air in one of the radio station here in mombasa i said,'HAKUNA SUPER STAR hapa mombasa' sikujua kumbe imewauma sana!!!
1. Kama wewe ni msanii na bado wapanda matatu kwa shughuli zako za kawaida,wakodi taxi ukienda shoo peke yake,wewe si superstar.
2.Kama bado waishi mitaani,sio estate,na umekodi chumba kimoja,wewe bado ni underground,coz ma super star hawakodi chumba,wana nunua nyumba au akodi nyumba nzima.
3.Ma superstar hawali kwa cafe,wanakula kwa high class restaurant na 5 star hotels na akimaliza lazima waiter apate tip.
4.Ma superstar wa ukweli hawakosi kufatwa na maparazi kila waendapo.
#Kwa muktadha huu,nani Super star mombasa??????????? HAKUNA.

No comments:
Post a Comment