Friday, May 18, 2012

Ommy Dimpoz Kuzindua Single yake,’Baadae’ kiaina yake jumapili hii


Best Upcoming Artist wa Kilimanjaro Music Awards na mkali wa Nai Nai, Ommy Dimpoz, anatarajia kupiga show ya ukweli Jumapili hii kwa ajili ya kuzindua single yake mpya ya ‘Baadae’.
Akizungumza na Bongo5, meneja wa msanii huyo, Muba, amesema kwamba kwa sasa Ommy yuko busy anamalizia kupiga show za Kili Winners Tour ambapo ameshazuguka mikoa mingi ya Tanzania akikamua na washindi wenzake, na punde tu atakapomaliza mwishoni mwa wiki hii show yake ya Mbeya, atakamua Bilz kiania yake.
Ommy Dimpoz atasindikizwa na wasanii wenzake Ben Pol, mwandani wake Diamond Platnumz na wasanii wengine wengi

No comments:

Post a Comment