Mda na wakati ukifika lazima ukubali kupokea majuku pamoja na kukubali kulea, ni kauli ya nyota aliyewahi kutamba na kibao cha ‘Mdananda’ Shetta, ambaye mke wake amebakiza miezi minne ili aweze kujifungua.Akizungumza na chombo cha habari kimoja wapo jijini Shetta alidai kuwa anaamini umri na uwezo wake uko tayari kuanza kulea, hivyo anaomba mungu miezi minne iliyobaki waweze kumalizia salama bila ya matatizo Pamoja na hayao aliongezea kuwa anahitaji kutafuta fedha ambazo zitamsaidia kulea motto wao bila matatizo yoyote kwani haitaji mwanae kuja kupata shida duniani.Amedai kwamba pamoja na hilia pia maekuwa akipanga muda wake vizuri kwani hawezi kukaa nyumbani muda wote na kutazamana na mke wake, hivyo anahitaji kutafuta feddha zitakazo jenga maisha yao yasiwe ya ombaomba....
No comments:
Post a Comment