Balotelli: "I'll invite Shakira ( Twitter), BALOTELLI ACHOKOZA PIQUE WA SPAIN
Balotelli: "I'll invite Shakira to the (#Euro2012 ) final, so that she can see what I'll do to to her boyfriend Piqué" #SuperMario
Pique mcheza wa Espania na Barcelona, ni mpenzi wa mwimbaji kutoka colombia, anajulikana kama Shakira, alietunga nyimbo ya kombe la dunia hapo Afrika kusini, 2010 "wakawaka" aka "its time for africa", Balotelli wa Italia ameanza uchokozi kwa twitter, akimtishia Shakira kwamba anataka ahudhurie mechi ya leo ashudhuie vile atamfanya madhambi Pique.Kulingana na picha ya maktaba, Balotelli anamachungu kuhusu dhambi ya Pique wakati alipambana kwa group stage ya Euro2012.It seems Balotelli has revenge in mind for Piques foul during the euro2012 group matches.
No comments:
Post a Comment